Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki?
Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!