Sikuwa nampango wa kucheka lakini komenti yako imenichekesha maana huu uzi unachekesha kivipi..🤣🤣Dah Hakuna Uzi JF ulowahi kunichekesha kama Huu[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kapime afya ya akili tafadhari..🤣🤣Dah Hakuna Uzi JF ulowahi kunichekesha kama Huu[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanauambia ulimwengu namna tulivyo, kuna statement fikirishi ilisema wakituhamishia ulaya wakatuachia kila kitu, na wao wakaja huku bado tutaendelea kuwaomba misaada, leo yametimia🤣 usishangae kuna mtu alilipiwa kila kitu aende huko, amekwepanaona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania!
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah Yani ukitoa comment ya kwanza...comment zote zinachekeshaMkuu kapime afya ya akili tafadhari..[emoji1787][emoji1787]
Nimecheka aisee dahSasa mbona kaingia huyo huyo mmoja mtanzania mzungu na ni mzee sijuhi Mchezo wa Bao unaruhusiwa Olympic?