Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Nadhani kiswahili kingelikuwa bora zaidi maana wajuaji wenzio wakija itakuwa ni ung'eng'e tu mwisho wa siku wadogo zake JP watakosa lengo la mjadala huu

Hata bi kidude alikufa akijua kingereza
 
Asante sana Zitto nimeongeza maarifa hapa ...umejibu kwa ufunuo wa ndani na mpana ....nikiri wazi nisingeweza kutoa jibu kama hili
 
Nadhani kiswahili kingelikuwa bora zaidi maana wajuaji wenzio wakija itakuwa ni ung'eng'e tu mwisho wa siku wadogo zake JP watakosa lengo la mjadala huu

Hata bi kidude alikufa akijua kingereza
Sawa.
 
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti kabisa jumlisha uwezo wa kutafsiri na nia ya kutafuta maarifa ya ziada nje ya kile ulichosomea kwa maana ya kufaulu na kupata daraja fulani
Tena mwambie watu kama wao ndio wanaochangia kutukwamisha tunapokuwa tunatafuta ukweli wa baadhi ya mambo kisa wanaamini zaidi waliosoma

Huwa wananiboa sana ujuaji mwingi kisa anasoma maandiko ya wanaume wenzie
 
Haki ya mungu yani tundaa tu! linatupeleka motoni kirahisi hivii[emoji21][emoji21] basi usikute tunda lenyew lilikua ni mbilimbi tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji22] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144]
 
Mwanzo 1:26-28
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; WAKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba MTU kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, MWANAUME na MWANAMKE ALIWAUMBA.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.




Biblia inafikirisha sana Aisee ALIWAUMBA inamaana walikuwa ni wawili na si mmoja

Ukisoma vizuri utaona inakwambia BAADA YA KUWAUMBA AKAWAPA JINA ADAMU......

hivyo haikuwa imetanabaishwa jina ni la nani kati yao(tulifichwa makusudi)
ADAMU AKAMZAA SETH(wale wawili wakazaa mtoto aliitwa Seth)


Biblia ina mengi sana ila ukweli ni kuwa Lilith alikuwa mke wa Adamu na wakapata mtoto kabla ya kuja kuwapo Eva
Ukisoma vizuri utaona walikuwapo kabla ya huyo shetani kuja duniani na katika uumbwaji wao Lucifer alikuwa pembeni ya Mungu kabla na baada ya uumbwaji wa Adamu

Ref:NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU(Mungu hawezi kujiambia mwenyewe neno Tu...hivyo walikuwa wapo wengi katika kikao cha uumbaji huo ila mambo yariharibika baada ya Lucifer kuja na kumpeleka Lilith kuzimu,Mungu nae akampa Adamu mbadala wake kutoka katika nyama zake si Mavumbini kama wale Adamu wa kwanza waliotoka mavumbini)

Biblia haisomwi kama Gazeti jaman
 
Hakuna mahali Lilith anatajwa kwa BiBlia. Its a Demon coupled with a demon akimuacha Adam na hii story haipo kwa Bible.
Lilith anatajwa kwenye biblia mkuu labda kama umesoma version hizi mpya ila NAB version na king jamea version toleo la kwanza kabisa linasema hivi

Isaiah 34:14
(14) Wildcats shall meet with desert beasts, satyrs shall call to one another; There shall the Lilith repose, and find for herself a place to rest.

Kuhusu story iliobaki ukienda kwenye dead sea scrolls ambazo vitabu vingi tu vya biblia vimepatikana huko kuna vitabu kama SONG OF SAGE vinachambua sana story hii hta hadithi za kale za sumeria na wayahudi ambao biblia yao mnaitumia wanakiri kupitia maandiko yao kadhaa kuwa lilith alikuwepo na alifanya usaliti kwa Adam!! Ila kwa biblia song of sage hakikuwekwa sababu kimepatikana miaka mingi baada ya biblia imeshakuwa imekamilika hivyo kma kingepatikana miaka ya 300 AD leo hii tungeongea mengine

Ila so far kwa vitabu hivi 66/72 walivyobakisha story ya lilith haijaandikwa so uko sahihi
 
Mkuu Kudo upo?? Nilimiss nondo zako hizi baada ya JF kuwa kifungoni
 
Aaameni[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Umemaliza vyema, nilianza tafiti toka mada hii imewekwa hapa, juu ya Lilith. Vitabu vingi vimemzungumzia kama demon, sio kiumbe mwema huyu. Biblia inasema "kila andiko lenye Pumzi ya Mungu .. " Juu ya huyu Lilitha sioni pumzi ya Mungu na kwasababu neno la Mungu halimtambui kwangu itabaki kua hadthi ya kufikirika tuu.
 
Lilith alitaka Adam abebe mimba bila ya mfarakano huu wanaumu tungekuwa tunabeba mimba.
Adhima na mpango wa Lilith ulikwama
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Bila ya mfarakano na talaka kwa Lilith wanaume tungekuwa tunabeba mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…