Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

@mshana jr
 
Kwanza naomba nisimjibie mtu... Lakini kama ni kuona mkono wa Mungu ukitenda kazi hata kwangu nimeuona. Ni jambo la kiimani zaidi kuliko unavyodhani kuwa ni mkono kama wako
Pili Mungu ni roho, roho ndio pumzi ya uhai... Mungu sio dubwana moja lililochongwa na kuwekwa pahala na kuabudiwa
Baada ya kazi ya uumbaji kukamilika ndipo hicho kilichoumbwa kikapuliziwa pumzi... Ya uhai na aliyepuliza hiyo pumzi Mungu mwenyewe
 
Unawasi wasi wanin mpe mtot jina kwa matakwa yako sio vitisho vya hadithi na historia jiamin bhn kweny uhalisia wa maisha hizi ni hadithi tu za mshana
Nahusika na maandishi yangu sihusiki na tafsiri za wasomaji na wachangiaji
 
Unajichanganya tayari.. Imani ina kitu cha kuthbitisha?

Yule aliyeuona mkono unaanzaje kusema ni imani, wakati kauona?

Imani haina kitu kuonekana kama mwenzako alivyosema yupo aliyeuona mkono wa mungu na akakiri uwepo wake, je anaweza kutupa mrejesho au uthbitisho?

Unaposema roho unakuwa na maana gani?
Mungu ni roho na roho ni pumzi, kwahyo kama hauna roho una pumzi, kama hauna pumzi hauna roho?
 
Ukiwa kwenye Mijadala uliza vitu vyenye mantiki, usiandike tu ili uonekane umeandika halafu kile ulichoandika kile hakieleweki hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…