Tatizo umasikini mkuu inabidi kupiga kila angle nafasi ikipatikanatatizo la wabongo baada ya kuona watu wamepiga sana hela kwenye ufuta mwaka jana wakaamua kukimbilia kulima ufuta. Hapo cha muhimu ni kujiandaa kisaikolojia maana hamna namna sasa.
Capo Dei Capi
Mbona Ikwiriri watu wameuza 2050.Mpaka mnada wa jana huko Lindi bei ilikuwa 1600/kg baadhi ya wakulima wamegoma kuuza