Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

Nikitaka kuanza hiki kilimo nini kinatakiwa
 
Bei ulzoandka kwa gunia kijijini znaweza kuwa hadi nusu ya hyo bei au chin ya hapo inategemea na msimu,ama pia hufka hapo zikiwa bei za juu kabsa kwa jumla kwenye masoko makubwa ya mijini kama k/koo, wafanya biashara wazoefu hawakurupuki na bei hufanya utafiti maana bei hzo znaweza kutaka kabisa mtaji wa mtu

Ufuta huwa hauna mambo meng sana kwan maeno mengi mbolea si lazima, ufuta mweupe hutoa bei nzur inaegemea na mnunuzi, waweza pata hasara shamba mvua ikzid yweza kuangusha maua kama bado hayajafunga hvyo kupungua mavuno, au wenyewe kukauka kwa maji mengi, na unastahimili sana ukame.

Tanzania wastawi walimwa nyanda za juu kusini mikoa ya Ruvuma, Mbeya, Rukwa, (Mpanda) kanda ya kati Dodoma, Wilaya karbu zote za mkoa wa Morogoro, huko njia ya kusini anzia kibiti, Malza kusini yote , panda hadi Nambengo ya Ruvuma utaukuta

Waweza stawi mkoa wowote hapa Tanzania, kikubwa tu hali ya hewa ya wilaya husika miaka michache ilyopita nakumbuka uliitwa jina la utani Dhahabu ya Shambani, umewatoa watu wengi sana

Cheza kwa step ufuta pia waweza kukufuta

Tchao Muuza Nyanya, Kijijini Doma
 
Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
Hilo ni kweli.

Hiyo shughuri yake, ukusanye vichenga chenga mpk ujaze gunia sio ishu ya kitoto.

Talking from Experience
 
Hahahahah! Huyo aliyepata gunia 40, yawezekana alilima ekari 40. Kilimo bwana mathalani, cha ufuta usishtuke na uwingi wa mazao, uliza na gharama za uendeshaji. Heri yao wachina wanaoendesha kamari za bonanza. Wao wanajichukulia pesa kirahisi. Wao mambo ya hali ya hewa, eti mvua imekuwa nyngi au ndogo haiwahusu. Wao muda wote wanalamba sarafu. Kilimo ni changamoto,uzuri wake tunakifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…