Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
Kwa kawaida kesi za ugaidi zinawahusu watu hatari zaidi wanaoendesha vikundi hatari zaidi vya kutekeleza na kufadhili UGAIDI.
HAKUNA UBISHI KUWA HATA ASKARI WA MAREKANI AKISIKIA FLANI NI GAIDI ANATETEMEKA.
fikiria mtu kama Osama,Aniwari,Gailani(mtanzania).
HAPA TANZANIA hatukuwahi kuwa na kesi za ugaidi na tulizisikia tu ng'ambo NA TUKISIKIA GAIDI BASI ANASAKWA NA MAREKANI NA HATA MAREKANI HAWAMKAMATI KIRAHISI HUYO GAIDI.
ZILIKUWA NI TAARIFA ZA KUSHITUA SANA HAPA TANZANIA KUSIKIA KWA MARA YA KWANZA LWAKATARE NA LUDOVICK wakishitakiwa kwa kesi ya UGAIDI.kutokana na kesi za ugaidi wengine tuliamini ndio mwisho wa hawa watu.LAKINI WALISHINDA NA KUFUTIWA MASHITAKA YOTE YA UGAIDI.
Baadae tena Henry Kilewo na wenzake wanne(sina majina yao) WALISHITAKIWA KWA UGAIDI NA MAPEMA LEO wameshinda na kufutiwa mashitaka yao yote ya ugaidi.
SASA KESI YA UGAIDI INACHUKULIWA KUWA NI YA KAWAIDA KAMA KUIBA KUKU.
na hata hao wanaoitwa magaidi hawaogopwi kama yanavyoogopwa majambazi
MY TAKE:TUACHE MZAHA NA UGAIDI