Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,564
Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania

1. Ugaidi
2. Uhujumu Uchumi
3. Uhaini

Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne

4. Sio Raia wa Nchi.

Safari bado ndefu.
 
Wote wataachiwa.
Mama hawezi ku-afford kuwa na wafungwa wa kisiasa.
Dikteta mwanamke atapata tabu sana katika dunia ya leo.
 
Hivi vyama vlvyounga juhudi kipnd kile kwani wao wanasemaje kwa upepo wa sasa wako upinzani au wako wap?
 
Lissu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
 
Kesi hizi zilipoelekezwa kwa Sabaya mlishangilia na kuona sawa tu. Leo zimeelekezwa kwa nabii wenu mnaona kaonewa na kuja kutafuta huruma mitandaoni.. Ujinga mtupu.
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kwani mange na kigogo wanapewa taarifa na nani?, acheni ushamba Kama ni move mmecheza ya kihindi kila mtu anawashangaa,ni kama move ya kitoto ya kumteka mo.

Ni swala la muda tu watamwachia,hebu ona barua ya policcm wanavyojimix mpaka tar,kwa kweli mwisho wenu utakuwa ni mbaya sana, pumbav.
 
Kesi hizi zilipoelekezwa kwa Sabaya mlishangilia na kuona sawa tu. Leo zimeelekezwa kwa nabii wenu mnaona kaonewa na kuja kutafuta huruma mitandaoni.. Ujinga mtupu.
Wewe ni mpuuzi sana, yaani unaweza kumlinganisha Jambazi Sabaya na Freeman?
 
Wote wataachiwa.
Mama hawezi ku-afford kuwa na wafungwa wa kisiasa.
Dikteta mwanamke atapata tabu sana katika dunia ya leo.
Safari hii tunaye dikteta mwenye maumbile ya kike. Ahaaaaaa!
 
Back
Top Bottom