Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Kwani mange na kigogo wanapewa taarifa na nani?, acheni ushamba Kama ni move mmecheza ya kihindi kila mtu anawashangaa,ni kama move ya kitoto ya kumteka mo.Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Pengine. Au mama anapelekeshwa na genge. What we see ni sura ya marehemu.Uzuri wa mama Hana roho ya jiwe, mahakamani wataachiwa.
Wewe ni mpuuzi sana, yaani unaweza kumlinganisha Jambazi Sabaya na Freeman?Kesi hizi zilipoelekezwa kwa Sabaya mlishangilia na kuona sawa tu. Leo zimeelekezwa kwa nabii wenu mnaona kaonewa na kuja kutafuta huruma mitandaoni.. Ujinga mtupu.
Safari hii tunaye dikteta mwenye maumbile ya kike. Ahaaaaaa!Wote wataachiwa.
Mama hawezi ku-afford kuwa na wafungwa wa kisiasa.
Dikteta mwanamke atapata tabu sana katika dunia ya leo.