Hamjambo wana JF. Nimekumbuka kuna kipindi nilifanya kazi mazingira ambayo ilikuwa vigumu kupata unga na kusonga ugali bali tuliweza kununua vyakula vingi vya makopo kama nyama, samaki, maharage sasa ikawa vyakula hivyo tunakula na mikate. sasa nikafikiria hivi hamna uwezekano wa kutengeneza ugali wa makopo? Na hiyo ikawa biashara nzuri hasa kwa hapa nchini?
Kwa sehemu ninayofanyia kazi nje ya TZ hamna unga na kila siku piza , burger na chips watu wengi tuliozoea ugali tunahangaika sana. Na mpaka tupo tayari kama tuona mtu ana supply ugali wa kopo tuweze kupasha na kula tu. Hivyo nikafikiria kwa mazingira kama haya lakini siyo kwa mtu ambaye ana nafasi of courseHiyo biashara lazima itadoda. Thats the way I see it.. 😀
sio ugali wa kopo tu, vile vile kungekuwa na ugali ambao upo frozen unafungwa vizuri kwenye makaratasi ya plastic then mtu akitaka kula ni kuweka tu kwenye microwave kama dk 5 tayari kwa kula.
microwave ni hatari mno kwa afya....yo
Utapata cancer.....
why not?Hamjambo wana JF. Nimekumbuka kuna kipindi nilifanya kazi mazingira ambayo ilikuwa vigumu kupata unga na kusonga ugali bali tuliweza kununua vyakula vingi vya makopo kama nyama, samaki, maharage sasa ikawa vyakula hivyo tunakula na mikate. sasa nikafikiria hivi hamna uwezekano wa kutengeneza ugali wa makopo? Na hiyo ikawa biashara nzuri hasa kwa hapa nchini?
huo ugali ukauzwe huko huko kwenu ''ulaya,amerika na asia''!sisi tutasonga na kuula ulio fresh