ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 231
Aisee ni hatari, ukisoma reply kwenye hiyo tweet ndo utaona akili zake zipo enzi za Stone Age 😅Kumbe brain za waafrika tunafanana
Alifanya nini huyu, sijawahi kusikia hiyo storyNafikiri wa kwanza kufanya hivyo ni Balozi Hamisi Khagasheki ,Jimbo la Bukoba mjini
Na yeye alichukua Ambulance yake,baada ya kushindwa uchaguziAlifanya nini huyu, sijawahi kusikia hiyo story
Maanake hawako kwaajili yakuwatumikia wananchi Bali wapo kwaajili ya WIN-WIN SITUATION🤣Kumbe brain za waafrika tunafanana
Basi na iwe inamsaidia yeye na ukoo wake kuwakimbiza hospitalini wanaposhikwa na majanga ya kiafya. PatheticNa yeye alichukua Ambulance yake,baada ya kushindwa uchaguzi
Aisee 😁Hata Masha aliposhindwa na Wenje aling'oa mpaka vitasa vya ofisi ya mbunge.
Inasikitisha sana mkuuWaafrika hatujawahi kujitambua