mhanga wa choyo
New Member
- Jul 17, 2016
- 2
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeandika makoronkoncho... andika tenaKama ni kweli basi na sisi punde tukakua hewani I.C.A.O walitupenda kweli kipindi kile tulikua hatuchepushi kama wale nya'n... ,eti Hatuna national carrier sasa soon ndani ya sitting room watakimbia walio chumbani baada ya kutoes pumb..v wale God Bless our Aviation plan
Mkuu umeandika makoronkoncho... andika tena
Mkuu umeandika makoronkoncho... andika tena
Hey start that airline first then hurl barbs later.Kama ni kweli basi na sisi punde tukakua hewani I.C.A.O walitupenda kweli kipindi kile tulikua hatuchepushi kama wale nya'n... ,eti Hatuna national carrier sasa soon ndani ya sitting room watakimbia walio chumbani baada ya kutoes pumb..v wale God Bless our Aviation plan
DUUHHHHHey start that airline first then hurl barbs later.
Hahahahaha awali ni awali tu wenzenu washameza soko you will never hit them nyie ndo mnakumbuka shuka jogoo kawika ndo mnasema tutaheshimiana hahahaEAC si ile tena iliyokuwa ikitawaliwa na KQ siku za karibuni kila nchi itakuwa na shirika lake la ndege.Tutaheshimina tu.
Hahahahaha awali ni awali tu wenzenu washameza soko you will never hit them nyie ndo mnakumbuka shuka jogoo kawika ndo mnasema tutaheshimiana hahaha
hahahah hasara wakati wameshajiestablish vya kutosha hasara zipo kwenye business na pia kuna kuinuka pia so usitegemee in any how mtaipiku labda kwa east africa tu lakini hasara ya KQ si kama ya Air Tanzania hata kwenda mtwara ilikua shida.Nyie mpaka muanze kujikita kwenye soko wenzenu mnadhani watakua wamelala just sit and watch.KQ inaendeshwa kwa hasara wakati Uganda na Tanzania hazikuwa na mashirika ya ndege yenye kutoa ushindani sasa ushindani unakuja sijui kama mtaweza kushindana maana mlizoea soko lisilokuwa na ushindani.
Start your own airlines first then we see how much competition you will present if any.KQ inaendeshwa kwa hasara wakati Uganda na Tanzania hazikuwa na mashirika ya ndege yenye kutoa ushindani sasa ushindani unakuja sijui kama mtaweza kushindana maana mlizoea soko lisilokuwa na ushindani.
Start your own airlines first then we see how much competition you will present if any.
As it is your post is akin to that of a child promising what to do when grown up.
Tim Choice, no one wants to buy from loss making KQ!
better start from a fresh it is too risky to buy a company that is cronic with loss making! public trust has wanned off...Geza!
It would be an opportune moment for a savy businessman to buy shares there now,to have a major if not a controlling stake!