cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kokochanel shabiki damudamu marehemu jiwe umepotea sana pamoja mumeo Lizbon...anyway safwiii
Hivi,hicho kiswahili chako cha Gabon utaachana nacho lini?😂Jifunze
Kwa humu unatakiwa sema haujakitana na post zangu na sio nimepotea..
Utasema muntu kapoteaaa kama una last seen yake au umesoma kitu juu yake humu.
Wewe ndio una Mke/Mme humu.
Si heri huyo anayehonga ambulance kule uswekeni wanahongwa kanga tshirt ubwabwa na kofiaHiyo ambulance ilikuwa rushwa ili apewe kura. Wananchi hawakutimiza wajibu wao katika mkataba huo wa rushwa. Huyo bibie hajakosea.
Ovu gani si lake au?
Lazima na usajiri wa gari ulikuwa Bado kwa jina lake.
Hakuna Msaada usio na mashrtiHuo ni msaada au hongo? Unaita msaada halaf unaweka masharti juu?
Hakuna msaada wa aina hiyo
Hakuna Msaada usio na mashrti
Huo ni msaada au hongo? Unaita msaada halaf unaweka masharti juu?
Hakuna msaada wa aina hiyo
Sex both....ila kusema ukweli bada Jiwe kwenda na maji wewe na penzi lako Lisbon hamna hamu tena ya kazi iendelee...Jifunze
Kwa humu unatakiwa sema haujakitana na post zangu na sio nimepotea..
Utasema muntu kapoteaaa kama una last seen yake au umesoma kitu juu yake humu.
Wewe ndio una Mke/Mme humu.
Hakuna Cha Bure DunianiBinadamu hana uzalendo, ndio maana ili kumdhibiti inatakiwa awekewe mifumo imara.
Sex both....ila kusema ukweli bada Jiwe kwenda na maji wewe na penzi lako Lisbon hamna hamu tena ya kazi iendelee...
Sawa Kokochanel...sema mulizingua sana kabla marehemu Jiwe yupo haiNipooooo
Subiri Muda ukifika.. mtasaga meno zaidi..
...tafuta kazi acha utungaji wa yale basi tu uninukuu..
Sawa Kokochanel...sema mulizingua sana kabla marehemu Jiwe yupo hai
Kumbe pawaaa.. halafu huyo simfahamu.. acha kutunga..
Subiri yajayo.. tulia tuliiiii...
Kisa hatuponaye unamkana Leo?Kumbe pawaaa.. halafu huyo simfahamu.. acha kutunga..
Subiri yajayo.. tulia tuliiiii...