Habari njema ni kuwa uganda imempiga tena cape verde kwa goli1 kwa 0 hii inamaanisha imefikisha pointi 13 zisizoweza kufikiwa na timu yeyote huku ikibaki na mchezo mmoja wakati Tanzania ina point 5 cape verde 4 na lesotho mbili hii ina maanisha Tanzania inahitajika kushinda gemu yoyote kati ya kesho au uganda kufuzu kwangu mimi natamani wamalize hesabu kesho wafikishe pointi 8 ambazo haziwezi kufikiwa nacape verde ila wakipigwa tu bado mtihani