Uganda arrests two Presidential hopefuls, Former Prime Minister and leader of Opposition

Uganda arrests two Presidential hopefuls, Former Prime Minister and leader of Opposition

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714

unnamed.jpg
Ugandan police have arrested two presidential hopefuls, police and an aide of one of the politicians said.

Former prime minister Amama Mbabazi, who wants to challenge President Yoweri Museveni for the ruling party's candidacy ahead of 2016 elections, was detained while he was on his way to meet supporters at a town near Kenya's border.

Andrew Felix Kawesi, Uganda Police operations commander, was shown on local television station NSB confirming the arrest to journalists in Njeru, 75km outside the capital Kampala.

"I am telling you ... I am the police and I have arrested him. He has to stick to what the law requires ... there's no going to Mbale. He's now under incarceration," Kawesi said.

In June police had banned Mbabazi from holding meetings to promote his challenge against Museveni, saying their party had not yet nominated a candidate.

Mbabazi was travelling to Mbale, a town near Uganda's border with Kenya to do a consultative meeting with his supporters and promote his candidature.

Police also arrested another presidential hopeful, opposition leader Kizza Besigye, early on Thursday morning as he left his house, his aide said.

"He had just left his home this morning going to the American Embassy for a meeting with the ambassador when police intercepted him and ordered him either to return home or be arrested," Francis Mwijukye, his aide, told the Reuters news agency.

"He refused to return home and was immediately arrested and taken to Nagalama Police Post," he said, referring to a neighbourhood outside the capital Kampala.

Source:
Aljazeera
 
It is well known that Kizza Besigye is in the opposition side;So, tatizo nini la kumkamata?
 
Kwa East hapa tuna PK na Museven, hawa watu wamejipa umungumtu wa ajabu ajabu du! mbaya hawajui kuwa wao wameupata urais kwa njia za ndivyo sivyo kuwa kunaweza kuwapekea hata wao kuwakuta
 
mbona hilo lilikuwa linajulikana tu!! ila Acha naye huyo MBABAZI, yamkute kwani wakati mpinzani kiza besigye yanamkuta wakati akiwa ni makamu wa rais alikuwa anaona ni sawa tu, sasa naye ayaone, kuwa unapo kuwa kwenye system usitunge sheria kandamizi kwa kuwa komoa wapinzani, kuna kesho na kesho kutwa. NDIO yatakuja tokea TZ, kwa mi CCM.
 
Kwa East hapa tuna PK na Museven, hawa watu wamejipa umungumtu wa ajabu ajabu du! mbaya hawajui kuwa wao wameupata urais kwa njia za ndivyo sivyo kuwa kunaweza kuwapekea hata wao kuwakuta

Kwa Pk wapinzani wamekosa mawakili kwenye KESI ya kumpinga Pk. Inaelekea serekali imewakataza mawakili kusimamia kesi hiyo vinginevyo watakutana na mkono wa serekali.
 
Kwa East hapa tuna PK na Museven, hawa watu wamejipa umungumtu wa ajabu ajabu du! mbaya hawajui kuwa wao wameupata urais kwa njia za ndivyo sivyo kuwa kunaweza kuwapekea hata wao kuwakuta

Mimi Nawaona Hao Wawili Uliowataja Kama Mashujaa Pekee Africa Iliyobaki Nao.
 
Kwa Pk wapinzani wamekosa mawakili kwenye KESI ya kumpinga Pk. Inaelekea serekali imewakataza mawakili kusimamia kesi hiyo vinginevyo watakutana na mkono wa serekali.
Wanakwepa kuondolewa kimyakimya
 
Kwa East hapa tuna PK na Museven, hawa watu wapuz na wamejipa umungumtu wa ajabu ajabu du! mbaya hawajui kuwa wao wameupata urais kwa njia za NGEDELE kuwa kunaweza kuwapekea hata wao kuwakuta
yaani wewe kama haujamsema Kagame basi hata... ana mke wake halafu wanajiheshimu sana sio kama yule jamaa wenu wa ndoa za mikeka zisizo hesabika! kwenye hii habari Kagame kaja vipi hapa? kakuambia anataka awamu ya tatu? sie raia ndio tutamlazimisha apende asipende, angalau ungemsema mjomba wako Nkurunziza kidogo ningekuelewa kwamba sometimes chuki zako huwa unaziweka kando...
 
Umewashwa eti! toka 94 muhula wa3 wamwaka gani? halafu mwambie mbuzi wako huyo PK aache kushobokea mgogoro wa Burundi mwenyewe nibora ya Nkuruzinza PAKA
 
Hii ndio Africa, halafu rais wa taifa linalowakandamiza wapinzani wake ndiye anateuliwa kuwa mpatanishi kwenye taifa jingine ambako rais ameamua kwenda kinyume na makubaliano kwa kung'ang'ania madarakni huku wakipinzani wakipata mko'ngoto!
Hata mimi nilishangaa sana
 
Umewashwa eti! toka 94 muhula wa3 wamwaka gani? halafu mwambie mbuzi wako huyo PK aache kushobokea mgogoro wa Burundi mwenyewe nibora ya Nkuruzinza PAKA
kumbe kelele zote hata haujuwi 94 tulikuwa tunaongozwa na nani? au unataka kuzuga? halafu kwani haujuwi matatizo ya Burundi yanaletwa na mjomba ako Nkurunziza, kwa kifupi ni kwamba warundi wanasema eti jamaa kaongoza miaka kumi na burundi ikarudi nyuma miaka kumi ukianzia pale alipo anzia, zilezile style za kina jMali mtu badala ya kuboresha jeshi na polisi alilonalo, akili za kiinterahamwe zikamshauli eti bora aanzishe Imbonerakure(Interahamwe Burundian version) sivichekesho hivi jamani? miaka 21 tokea kina jMali wakinukishe lakini nyie hata bado hamjajifunza kitu? kweli kazi ipo...
 
Back
Top Bottom