Uganda: Askari awaua wenzake 8 na yeye kujiua kisa demu

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
4,880
Reaction score
6,047
askari wa jeshi la uganda amefyatulia raia wa 4 na wanajeshi wa4 nakuwaua hapohapo nawengine 12 majeruhi,tukio hilo limetokea night club kampala city baada yakugombeana na demo,alipoona amezidiwa askari huyo alienda kambini kuchukua bunduki nakufyatulia risasi wenzake nakuwaua askari 4 na raia4 nakujeruhi wengne 12 nayy aliamua kujiua.source rfa.


 
Huyo atakuwa mfuasi wa ........ akakutane na vie vigori huko peponi.
 

Mkiambiwa pombe haramu mnakataa.
 
ha ha ha haaaaa fresh tu hata kwetu wapo.
gombea mzigo ukishindwa kachukue hata ya mdingi.
 
Kuchukua maisha ya ndugu zako kisa uke wa mwanamke ni makosa makubwa sana mbele ya Mungu!...imagine its like Cain killing Abel for a v***na!!......mbona wako wengi tu!.....watu kama hawa hawapaswi kupewa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…