Najiuliza nashindwa kupata majibu kwamba ilisemekana kuwa Kizze Besigye alikuwa kizuizini mara ameapishwa jana alitokaje chini ya ulinzi mpaka kwenda kuapishwa?
Najiuliza nashindwa kupata majibu kwamba ilisemekana kuwa kizze Biesigwa alikuwa kizuizini mara ameapishwa jana alitokaje chini ya ulinzi mpaka kwenda kuapishwa? Na aliapishwa na nani?