Uganda: Bunge lapitisha muswada wa kuwafunga jela mashoga

Uganda: Bunge lapitisha muswada wa kuwafunga jela mashoga

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni.

Muswada huo unabainisha kuwa marafiki, ndugu wa familia na wanajamii husika watawajibika kutoa taarifa kwenye mamlaka kuhusu yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Sehemu ya adhabu ni kifungo cha hadi miaka 10 jela, pia yeyote atakayebainika kuwahusisha Watoto katika vitendo hivyo anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.


++++++++++

Ugandan parliament passes bill to jail gay people

Uganda's parliament has passed a bill which would criminalise people who identify as gay, or a sexual minority.

Individuals could face lengthy prison terms if the bill is signed into law by President Yoweri Museveni.

Under the proposed legislation, friends, family and members of the community would have a duty to report individuals in same-sex relationships to the authorities.

Homosexual acts are already illegal in the east African country.

But the bill seeks to go further and criminalise people on the basis of their sexual identity.

The bill, which was first tabled earlier this month, passed with widespread support in Uganda's parliament on Tuesday.

It will now go to President Museveni who can choose to use his veto - and maintain good relations with Western donors and investors - or sign it into law.

The bill also stipulates that a person who is convicted of grooming or trafficking children for purposes of engaging them in homosexual activities faces life in prison.

Individuals or institutions which support or fund LGBT rights' activities or organisations, or publish, broadcast and distribute pro-gay media material and literature, also face prosecution and imprisonment.

A small group of Ugandan MPs on a committee scrutinising the bill disagreed with its premise. They argue the offences it seeks to criminalise are already covered in the country's Penal Code Act.

Activists and LGBT people in Uganda have said that anti-homosexuality sentiment in the country is exposing them to physical and online violence, and that the bill may have far-reaching consequences for Ugandans in general.

In 2014, Uganda's constitutional court nullified a similar act which had toughened laws against the LGBT community.

It included making it illegal to promote and fund LGBT groups and activities, as well as reiterating that homosexual acts should be punished by life imprisonment.

The court ruled that the legislation be revoked because it had been passed by parliament without the required quorum. The law had been widely condemned by Western countries.

Same-sex relations are banned in about 30 African countries, where many people uphold conservative religious and social values.

Source: BBC
 
Safi sana. Tena wangewafunga na mabwana zao selo moja ili wafokonyoane vizuri.

Hii sheria ikija huku kwetu asilimia tisini ya wasanii wote wa muziki, uigizaji hata watangazaji watatiwa ndani maana ndio vinara wa kupakuana mavi bila kusahau wanasiasa ambao wengi wao ndio wanafanya haya mambo ya ushoga yakuwe kwa kuwa wateja wakuu wa machoko.
 
Hii itampatia high political milage rais museveni, badala ya watu kumjadili na kupinga utawala wake wa kidikteka kwa zaidi ya miaka 30, sasa watamsifia kwa kutunga sheria kali za mashoga.

A very well calculated move kwa sababu anajua ujinga umetawala kwenye jamiii husika.
 
Kila la kheri Museven na sisi tunakuombea dua kwa Mwenyezi Mungu akubariki kwa hili 🙏

kwetu huku Bi Mkubwa kakaa kimya hatujui yuko upande gani
 
Mh wasije wakawekewa vikwazo vya kiuchumi, uwwih
 
Museven anajua kucheza karata za kisiasa vizuri. Hapo jamii imeaminishwa kuwa serikali inapigana vita ambayo kimsingi haipo.

Vita hewa dhidi ya mashoga hewa. Ukiuliza hao mashoga ni wangapi si ajabu utaambiwa wapo 40 tu kwa mji wa Kampala wote.

Lakini kwa sababu BRIGEDIA MUSEVEN anajua kuwachota akili manyumbu yake ya Uganda, basii anateleza tu kimsererekoo mpaka 2040 akiendelea kukalia kiti chake cha enzi cha urithi TOKA KWA BABA.

Huku nyuma kayarushia fupa majibwa koko yakiendelea kung'ang'ana na vita hewa ya mashoga hewa. YEYE ANAZIDI KUPETA TU.
 
Rasmi bunge la Uganda limepitisha mswada wa kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja (gays na lesbians). Sasa anasubiriwa tu Rais wa nchi hiyo Yoweri Kaguta Mseven ausaini ili iwe sheria

Safi sana Uganda kwa kuonesha mwanga sahihi lakini swali ni je Uganda wako tayari kukabiliana na mabeberu km Marekani na Uingereza wanaotetea uchafu huu. Je vipi kuhusu misaada, Uganda wameamua kuipa kisogo misaada ya hao mabeberu. Na kwenye vikwazo je, Uganda wamejiandaa kukabiliana na vikwazo vya mabeberu.

Excellent Uganda, bora kula maharage na mboga za majani ukiwa kwako na huru kuliko kula nyama ukiwa chini ya mabeberu huku umefungwa miguu.
 
Mambo ya Afrika yanategemea nani yupo madarakani. Leo Museveni pa huyu hapa! Nadhani hadithi itakua tofauti.

Hongera kwao kwa kutotikiswa na waonevu wa ulimwengu.
 
Back
Top Bottom