Uganda: Chama tawala NRM wataka Museven aongoze hadi kifo


ndo tunavyoiga kwa wenzetu hivi
 
Hizo ndizo sifa za Madikteta uchwara kama huyu wa kwetu...kwao wizi rukhsa, upinzani marufuku, ukabila rukhsa, haki marufuku, uonevu na unyanyasaji rukhsa, hekima marufuku, ukurupukaji na uropokaji rukhsa...kwao katiba si chochote si lolote, ni kipande tu cha karatasi.
 
Mzee Mwinyi & Company. Maumivu huanza kidogo dogo. Mola atuepushe na kikombe hiki!!!!
 
Aendelee kuongoza hata baada ya kifo,hakuna shida
 
Waafrika wana laana Museveni nkurunzinza kagame magufuli all are dictators
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…