real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Uganda inasema inalizingatia vyema ombi la Israel kuwachukuwa wahamiaji 500 kutoka Eritrea na Sudan ambao mamlaka nchini Israel zimewakatalia maombi yao ya ukimbizi, kwa mujibu wa Waziri wa Wakimbizi wa Uganda, Musa Ecweru, ambaye ametoa uthibitisho wa kwanza kuhusu uvumi uliokuwa umezagaa wa utayarifu wa taifa hilo la Afrika Mashariki kujitosa kwenye kadhia ambayo imekosolewa vikali duniani kote.
Chanzo: DW
Chanzo: DW