Uganda issues Shoot to Kill orders for kenyan Pastrolists who cross the border into Uganda

Mlitaka jaribu huu upuuzi Loliondo mkatulizwa!
 
Huu muungano wetu una shida sana!!!!
kauli kama ilivyo tayari ina utata sababu:
-1Kumjua cattle rustler ni mpaka aibe.
-2.Je,Utatofautishaje kama mfugaji wa kenya ambaye siyo cattle restler ana bunduki ya kujilinda na mifugo yake,hii ingekuwa sawa kama upande wa kenya nao wame disarm.
-3.Kwa kauli hiyo wanaolinda huo mpaka wanaweza kuchukua kama fursa ya kujinufaisha na dhuruma
-4.zoezi lina ugumu cause mipaka haina alama sehemu zote.hapa tunarudi kulekule kwenye kujua mipaka kama ilivyo ziwani
 
Hapa kunashida sababu hao bandit kutoka pokot ni vichwa maji na tena kifo ni kitu cha kaiwada sana kwao.....sasa itabidi wasuruhishe haya mambo na waganda bila ya vita sababu raia wa mipakani ndio wataumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni lazima disarmament ifanyike ug na kenya.
Ni lazima kuendeleza control ya uvushaji wa silaha toka sudani la svyo dawa bado kwani upande mmoja utafanya vita ya kushtukiza.
 
Kumbe na wavuvi wenu wanaoiba SAMAKI wetu no kushoot tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli mkuu, kama vile Jiwe anasema hapa!!! 🙄🙄
 
Ukiona nyang'au piga risasi..Huu urafiki bandia afadhali tukimbilie kwa uncle magu..
Unyama na roho chafu kama hii hapana..Tusidanganyane
 
Hahahaaa!, za uso nazo?.
 
Jiwe mwenzako hata wananchi mkifa mfe tu yeye hataki tu kukoselewa, kwake hata wananchi wakifa we pongeza tu hapo atakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…