Uganda itakuja kuwa kama zimbabwe

Uganda itakuja kuwa kama zimbabwe

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Ukiangalia yanayoendelea uganda kupitia mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ambaye ni CDF ni uwezekano wa uganda kuwa kama zimbabwe kwanini nasema hivi

Majuzi ubalozi wa marekani ulitoa tamko juu ya museven kutaka kugombea tena ikimsihi asigombee tena, mtoto wake Muhoozi Kainerugaba akaibuka huko akampa balozi mpaka jumatatu ya juzi awe ameshaondoka uganda ila chaa ajabu yeye ndo kafuta twitter zote zilizokua zinamtisha balozi wa uganda na mpaka leo jumatano balozi wa marekani bado yupo uganda

Mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ananafasi kubwa ya kurithi kiti cha baba yake kama Rais- imagine jamaa alivyokua na mawenge vile anakua Rais ni wazi kuna mda unawaonea huruma sana uganda sababu museven ni kama anaipigania familia yake na hajali kabisa maslai ya wananchi wote wa uganda

Marekani ni nchi ambayo ni superpower na pia ni kiranja wa dunia ana mapungufu mengi sana ila ndo kiongozi wa dunia, kuna viongozi wa nchi walitumia njia za Muhoozi Kainerugaba kudeal na marekani matokeo yake waliumiza sana wananchi wake mfano mzuri ni zimbabwe leo hii wanakimbilia south africa mbinyo wanaoupata ni mkubwa sana kutoka marekani na washirika wake

Ukiwa maskini hutakiwi kuwa na hasira nikimaanisha hakuna ulazima wa kuwajibu marekani hasa pale wanapotoa tamko lolote juu ya nchi zetu hizi za africa hata alichofanya samia juzi kuwajibu mabolozi kule moshi alikosea sababu hakukua na ulazima wa kufanya hivyo sababu ukimjibu marekani usijidanganye ndo utamuogopesha thubutu
 
SIKU ZOTE UTAWALA WA KIOVU HAUWEZI DUMU MILELE HATA BABELI ILIANGUSHWA KWA JINA LA YESU KRISTO TU NDIPO NIMRODI ALIPO FEDHEHEKA SANA.
 
Ukiangalia yanayoendelea uganda kupitia mtoto wa museven ambaye ni CDF ni uwezekano wa uganda kuwa kama zimbabwe kwanini nasema hivi

Mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ananafasi kubwa ya kurithi kiti cha baba yake kama Rais- imagine jamaa alivyokua na mawenge vile anakua Rais ni wazi kuna mda unawaonea huruma sana uganda sababu museven ni kama anaipigania familia yake na hajali kabisa maslai ya wananchi wote wa uganda

Marekani ni nchi ambayo ni superpower na pia ni kiranja wa dunia ana mapungufu mengi sana ila ndo kiongozi wa dunia, kuna viongozi wa nchi walitumia njia za Muhoozi Kainerugaba kudeal na marekani matokeo yake waliumiza sana wananchi wake mfano mzuri ni zimbabwe leo hii wanakimbilia south africa mbinyo wanaoupata ni mkubwa sana kutoka marekani na washirika wake

Ukiwa maskini hutakiwi kuwa na hasira nikimaanisha hakuna ulazima wa kuwajibu marekani hasa pale wanapotoa tamko lolote juu ya nchi zetu hizi za africa hata alichofanya samia juzi kuwajibu mabolozi kule moshi alikosea sababu hakukua na ulazima wa kufanya hivyo
Sijui masikio kama yatasikia!
 
Back
Top Bottom