uganda kuondoa majeshi yake somalia

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
845
Jeshi la Uganda kuondoka Somalia 2017
Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Katumba Wamala amesema kwamba Uganda imeamua kuondoa jeshi lake Somalia baada kuhujumiwa na jeshi la Somalia.
Hatua hii itakuwa pigo kwa harakati za kukabiliana na Al Shabab nchini humo kwani Uganda ina idadi kubwa zaidi ya wanajeshi katika Umoja wa Afrika nchini Somalia.
Jenerali Katumba anasema Mwezi Disemba 2017 wanajeshi wake watatoka Somalia.
 
Hivi Somalia itakuja ku settle kweli
 
Kenya wajiandae aisee.

Wamenunua msala kwa kupeleka wanajeshi kule, sasa wenzao wanawakimbia.

Itabidi Kenya wajiandae kuongeza wanajeshi, juzi nimesikia Kenyatta analalamika pesa wanayopewa na wafadhili ni ndogo haitoshi wao kuendelea kukaa Somalia.
 
Hivi Somalia itakuja ku settle kweli
Somalia ni moja ya nchi ambayo iliwahi kutawaliwa kutokea nchi nyingine.

Yaani hata serikali haiwezi kulindwa, hapo kutulia ni kazi aisee, maana wanaoituliza nchi ni serikali, kama serikali yenyewe haiwezi kujilinda wataweza kulinda wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…