Uganda looks to Tanzania for gas

Keep waiting. Remember Dangagiza is NEVER in the Periphery of our National plans. Just beat it. Do your thing without looking over your shoulders
Unless u will heat that waxy crude from Lokichar with firewoods!
 
Ilianzia Kwenye kudhani kiongozi ana akili sana na vision bora kuwazidi wananchi wenzake.

Subirini spanner za kuwa fix tight zinaandaliwa (watiziiiii)
Upo sahihi, Kiongozi wa Venezuela aliwapea wananchi vya bure, bei ya petroli kwa shillingi Tsh 100 kwa lita..Haya yote akafanya enzi ya mafuta ghafi ikiwa bei ya $150 P/B, akawa anatafuta umaarufu huku viwanda vya kuzoa mafuta ghafi zikiendelea bila upanuzi na bila repairs. .
Kiongozi unaye ongelea kuhusu huko Tz ni Jiwe, vya bure hamna,kuekeza kwa viwanda na uchukuzi ndio kazi yake
 
wewe huna hoja ya maana nahisi wewe ni mzubgusha mikono ..... MTAPATA TABU SANA
nimekubadilishia jina la venezuela kutoka kuwa subject ya sentesi na kuwa object umeshindwa kuelewa japo umesoma.
 
How will kenya export if Turkana has already refused with their oil? 😀
 
Je naweza kwenda nangurukuru kwa dreamliner ya magu?
Au hukunielewa nikisema viongozi kudhani wana ubongo super?
 
wewe huna hoja ya maana nahisi wewe ni mzubgusha mikono ..... MTAPATA TABU SANA

Halafu hii gesi mbona mnawaza Uganda sana hata zaidi yenu wenyewe, hivi watu wa Mtwara walishaona matunda yake au ni ile kawaida yenu umaskini kila mahali.
 
Je naweza kwenda nangurukuru kwa dreamliner ya magu?
Au hukunielewa nikisema viongozi kudhani wana ubongo super?
Dreamliner si kwa manufaa yako binafsi eti uwe unaenda nayo nyumbani ukitokezea kazini. Ni ya manufaa ya Tz kwa kuimarisha utalii na biashara ya viwaja vya ndege.
Nchi ambazo zimeendelea zimekuwa na Marais ambao wana ubongo super..Kama vile viongizi kadhaa wa zamani wa america, china, Singapore ambao historia inawataja kuwa na akili kubwa kuliko wananchi ambao waliwaongoza.
Akili kubwa si ulemavu kwa ungozi, ni Advantage
 
Kwanini walijimilikisha utawala kama wangekuwa na akili kubwa!

Iko hivi ni miaka ya hivi karibuni ndio watu wa leo wanaihalalisha bangi, hao unaodai walikuwa na akili kubwa walikuwa wanawafunga wenzao kisa upungufu wa akili zao biongozi.

Tumezaliwa huru tunapaswa kuishi huru.
 
JPM ana lami?
Kama alikua na dreamliner isiyoweza kukufikisha nangulukulu basi lami ya kukufikisha huko alishaiweka ukitaka kwenda na dreamliner pekee unategemea wenye mabasi watakula wapi?
 
Halafu hii gesi mbona mnawaza Uganda sana hata zaidi yenu wenyewe, hivi watu wa Mtwara walishaona matunda yake au ni ile kawaida yenu umaskini kila mahali.



matunda ndiyo hayo inauzwa tupate fedha tujenge nchi
 
Hauna unalolisema, Ukishidwa uchaguzi uone kanakwamba umeibwa kura, unafaa kwenda kortini na ushuhuda, Kelele za mitandaoni eti kuna mtu amejimilikisha uogozi ni bure
 
Meanwhile, Kenya still imports alot of cooking Gas from Tz but cannot build a pipeline because of pride
You've got this twisted, Kenya did sugest to Tz, to build a gas pipeline to Kenya and transport it in bulk, We had a plan to have cooking gas supplied directly to homes using pipes, But because of Jeolousy, Tanzania refused having seen that Kenya would use the cheap bulk gas to develop herself more than Tz the exporter of the gas. At the time Tz gave the excuse that they were insterested in first developing local consumtion before selling it to anyone else.... Now I see they have bypassed Kenya and want to give it to Uganda... No country in EA consumes cooking gas more than Kenya.

But not to worry we have other plans that will make LPG just as cheap Cooking gas price controls loom as storage hub built
 
Let's not forget Tanzania has 1.9bn t of iron ore reserve which hasn't been touched. That can last us for at least 200yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…