Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga magharibi kwa Uganda,Polisi Uganda wamethibitisha.