Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Dec 30, 2022 #1 Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga magharibi kwa Uganda,Polisi Uganda wamethibitisha.
Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga magharibi kwa Uganda,Polisi Uganda wamethibitisha.
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Dec 30, 2022 #2 Dah Mungu tuepushe
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jan 1, 2023 #3 Leo nimekulupuka haswa kama Blaza K Nimeshangaa volcano na oxygen zimegongana kivipi na kuuwa kumbe ni mabasi Pole yao wameumaliza mwaka
Leo nimekulupuka haswa kama Blaza K Nimeshangaa volcano na oxygen zimegongana kivipi na kuuwa kumbe ni mabasi Pole yao wameumaliza mwaka