luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Serikali ya Uganda imesema marubani watakao ajiriwa ktk shirika la ndege la Uganda watakuwa wakiweka kibindoni mshahara wa kiasi mil 42 Ush na wasaidizi wao (first officer) watakuwa wakilipwa 38 mil Ushi. serikali ya Uganda ambao wapo ktk mchakato wa kulifufua shirika la ndege la Uganda ambapo tayari serikali ya Uganda imesha wuweka order ya ndege nyingine kubwa aina ya airbus A320 Neo pamoja na kununua ndege 2 aina ya bombadier ambazo zinatarajiwa kuwasili mwezi april tarehe 8 .