luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Sisi na uganda wote ni vipofu! Aliyekuwa akitushika mkono kutuvusha barabara ni mhuni flani hivi mvuta bhange wanamuita Mr slim!! Sasa ndiyo ametuleta hapa na kutuacha sijui ameenda wapi na hatujui tuelekee wapi! Halafu tuliambiwa kuwa huyo Slim mwenyewe ana kamkono ka udokozi dokozi,eti hata zile bangili za dhahabu na almasi anazolalamikia yule Mkongomani ni yeye alikwiba!! Eti ndo yule kaka yetu aliyepita akamuuliza kwa nini unakwiba vitu vya mkongomani? Eti Slim akatishia kumpiga!!Hahhahahaha
Uganda nao wameona wafuate nyayo za Magufuli
1 Tsh =1.59 Uganda shs
sio kuiga tu unajua sasa iv usafiri wa anga barani afrika unaonekana kukomaa sasa na haya mashirika makubwa mengi yanapiga chini sehemu ambazo wateja sio wengi mfano emirate tu wamepiga chini safari za entebe hata british airways pia walikata safari za entebe tangia miaka ya 2015 ss ni vyema taifa kujiongeza ili kukomaza utalii wa nchi lkn pia ujio wa shirika la ndege kama la rwanda limekuwa kama kioo cha mataifa jirani kujitazamia yaani ka nchi kadogo kametoka ktk machafuko makali leo kana ndege zake iweje Ug ikose then ndio unaona mataifa yana jaribu hii biashara lkn kwa Tz binafsi naona biashara ipo kama umakini ukiwekwa mbele pamoja na ubunifuUganda nao wanamuiga ANKALI?