Hayati Abiringa alikuwa Mbunge aliyekuwa mstari wa mbele kupiga kampeini ya kumuongezea muda Rais Yoel Museveni.
===
Fanya uchunguzi kwanza kabla ya kutoa kauli chonganishi.
Tena muhasi lakini baadaye alipewa msamaha na kuwa raia mwema, ni juzi tu alikuwa amehitimu mafunzo ya stashahada, baada ya waganda kupiga kelele kuwa elimu yake ndogo, basi yeye aliamua kujiendeleza na akafaulu. Watu wa Northern Uganda are very bright in general.
Hata ningekua ni mimi nnagun huyu jamaa ningeshoot. Ndio wale wachoyo wa madaraka wasiojali maslahi ya wengine. Jamaa si ndio alikua anakomaa m7 aongoze milele?! Mwache aende.