real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Spika wa Bunge la Uganda, Rebecca Kadaga, ameamuru rasimu ya muswada unaolenga kubadili kifungu cha katiba kinachoweka mkomo wa umri wa rais, upelekwe kwa wananchi.
Hatua hiyo imeungwa mkono na waziri mkuu na sasa bunge litarejea kufanya kazi zake kama kawaida
Muswada huo ulikumbwa na utata tangu tetesi za kuwasilishwa kwake
Hatua hiyo imeungwa mkono na waziri mkuu na sasa bunge litarejea kufanya kazi zake kama kawaida
Muswada huo ulikumbwa na utata tangu tetesi za kuwasilishwa kwake