C chabusalu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 8,084 Reaction score 5,210 Sep 8, 2018 #21 natoka hapa said: Ni wapi mtu kacharazwa makofi mbona nimeangalia nimeona huyo mdada anafoka tu mpaka video inaisha Click to expand... Itakuwa alimcharza baada ya video kuisha!
natoka hapa said: Ni wapi mtu kacharazwa makofi mbona nimeangalia nimeona huyo mdada anafoka tu mpaka video inaisha Click to expand... Itakuwa alimcharza baada ya video kuisha!
mwanahabari93 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 263 Reaction score 170 Sep 8, 2018 #22 Daaah wee mtoa mada unadanganya uma...
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Sep 8, 2018 #23 Salary Slip said: Museven yatamkuta ya kina Gaddafi na Mubarak. Click to expand... Mwanzisha thread ni mjinga fulani mwenye ID nyingi. Kazi yake ni kuposha na kuanzisha thread hovyo zisizo na idadi. Hilo tukio HALIKUTOKEA Uganda. Kiingereza ni cha South Africa. Muwe mnampuuza!
Salary Slip said: Museven yatamkuta ya kina Gaddafi na Mubarak. Click to expand... Mwanzisha thread ni mjinga fulani mwenye ID nyingi. Kazi yake ni kuposha na kuanzisha thread hovyo zisizo na idadi. Hilo tukio HALIKUTOKEA Uganda. Kiingereza ni cha South Africa. Muwe mnampuuza!
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Sep 8, 2018 #24 mwanahabari93 said: Daaah wee mtoa mada unadanganya uma... Click to expand... Kwanza tukio siyo la Uganda!
mwanahabari93 said: Daaah wee mtoa mada unadanganya uma... Click to expand... Kwanza tukio siyo la Uganda!