UGANDA: Mwanaume ahukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 40 kwa kupaka Pilipili kwenye nguo za ndani za Mkewe

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
LIRA, UGANDA: Mwanaume ahukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 40 baada ya kukutwa na hatia ya kupaka Pilipili kwenye nguo za ndani za Mkewe

> Hakimu wa Mahakama huko Lira, Hilary Kiwanuka amechukua uamuzi huo baada ya kubaini kuwa Mtuhumiwa bwana Moses Okello alifanya tukio hilo kwa makusudi.

> Mwanamke huyo amesema kuwa baada ya kuvaa nguo hizo alipata maumivu makali kwenye sehemu zake za siri ndipo alipomuona Daktari alitemtaarifu kuwa alivaa nguo yenye Pilipili.

> Hata hivyo bwana Okello amekiri kufanya kitendo hicho huku akijitetea kwa kusema kuwa alitaka kumtania Mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…