Kenya na Uganda ni ndugu na majirani wa kweli!! Haya mambo ya mikwaruzano ya kibiashara ni ya kawaida maana kila nchi inapigania maslahi yake!! Lakini linapokuja suala kubwa kama la msiba, tofauti ndogo ndogo lazima ziwekwe pembeni!! Hao wengine tuklae nao kwa akili!!