Uganda nao waanza kutekana, mpaka sasa watu 24 hawajulikani walipo

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Wananchi nchini Uganda wameingiwa na hofu kubwa mara baada ya wimbi la utekaji kushamili nchini humo, ambapo mpaka sasa watu 24 hawajulikani walipo.

Kwa mujibu wa Gazeti la Monitor nchini humo limesema kuwa kikundi cha polisi kinachofanya uchunguzi kimesema kuwa watuhumiwa 27 wamekamatwa na wengi 17 wamefunguliwa mashtaka mahakamani.

Aidha, Msemaji wa jeshi la polisi nchini humo, Emilian Kayima amesema kuwa utekaji huo unaongezeka kila siku huku akitaja sababu kubwa ikiwa ni masuala ya biashara na wivu wa kimapenzi.

“Vitendo vya utekaji vimeongezeka nchini kwetu, vitendo hivi vinasababishwa na makubaliano ya kibiashara, pia wivu wa mapenzi, tunawashauri watu wote kuripoti polisi pindi wakiona ndugu yao hajaonekana ndani saa 24,”amesema Kayima

Hata hivyo, Kayima amewaasa wananchi wa nchi hiyo kutoa taarifa sahihi ya maeneo husika wanayopendelea kutembea au wanapokutana na jamaa zao ili kurahisisha kufanyika kwa uchunguzi pindi linapotokea tatizo.

Chanzo: Dar24
 
Mamumiani wapo kila nchi hasa nchi zinazoendelea - developing countries!
 
Kwahiyo ukichukua mke au mume wa mtu unatekwa, nadhani hii itanyorosha watu wabaki njia kuu nasi kutanga tanga na wapenzi w wengine
 
Kwani wewe hujui kwamba Sizonje alikuwa huko juzi tu....?? Inawezekana amewamezesha mbinu ya kutokujulikana...!!!
 
Back
Top Bottom