Uganda projects construction to start soon. Shame on you Kenyans

Naona umekurupuka!

Ah wapi! Acha ku'justify' chuki zako dhidi ya wakenya(watu milioni 45) na mambo ambayo ni ya zamani sana. Wengi ambao walikuwa hai enzi hizo hivi sasa hawapo tena.
 
My TZ bros continue developing your country, it a win for EAC. The day Tanzania surpasses Kenya, we wont die in sorrow. We will pack our bags, across border and come invest and get a share of your economy. That's the Kenyan way.
 
Ah wapi! Acha ku'justify' chuki yako dhidi ya wakenya(watu milioni 45) na mambo ambayo yalitendeka zamani sana. Wengi ambao walikuwa hai enzi hizo sasa hivi hawapo tena.
Umekurupuka kwa sababu nilikuwa naquote post ya mtu mwingine, all of a sudden wewe umeparamia tu mwanaharamu wewe!
Wewe bichwa lako na mijitu yako mnavuna mlioyapanda zamu yenu ya kula crap han..it..hi mkubwa na kama unaona nina chuki nawe basi usinijibu pita tu!
Uwendawazimu wako pitisha hukohuko imbecile wahead!
Ignore list yangu inakuhusu
Usijidumbue kunijibu maana sitaiona mwanaharamu mkubwa!
 
My TZ bros continue developing your country, it a win for EAC. The day Tanzania surpasses Kenya, we wont die in sorrow. We will pack our bags, across border and come invest and get a share of your economy. That's the Kenyan way.
Come where??? Hahahaha never
 
Hasira na matusi ya nini bana? Huu ni mtandao wa kijamii hamna atakayekuomba ruksa kabla ya kukunukuu. Ila sijatumia matusi au lugha yeyote kali. Si kawaida yangu hiyo. Hiyo mipasho yote kama ya taarabu utajipa vidonda vya tumbo bure. Nimekuacha lakini. Usije ukaniroga. 😉
 
Chuki acheni zitawapeleka wapi Kenya ikifanikiwa ama WaTz ni sawa tu isitoshe angalia uchumi wao uko juu chuki za nini
 
Dah! Mbona Wabongo wana chuki dhidi ya Kenya hivi? Hizi comments zenye zimejaa chuki tele. Mimi ni mkenya na kukiwa na maendeleo bongo au TZ siumwi na chochote. It's a win for the EA community. It's like Tanzanians want to see the downfall of Kenya.
Huku TZ tunamsemo, hadui muombe njaa. Mlituchezea sana rough.
 
KQ ina launch flights Mauritius, New York, Atlanta....nauliza pigo mnalozungumzia liko wapi?
Endeleenï ku launch tu mtawapeleka kwenu. Do you know that KQ has more flights in TZ than in othe country?? Tulia uone plan B ya Magufuli. Tunawapunguzia flights huku muda simrefu
 
Mtanzania anasherehekea ujenzi wa airport Uganda ilhali kwao aiport zinafanana na vibanda vya nguruwe😀😀😀😀 picha zipo...bisha ukaribishwe mara moja
leta hapa picha kenge wewe. Ugandans are very cool people tofauti na nyie Manyangau.
 
Endeleenï ku launch tu mtawapeleka kwenu. Do you know that KQ has more flights in TZ than in othe country?? Tulia uone plan B ya Magufuli. Tunawapunguzia flights huku muda simrefu
aliyekudanganya tz ndio mwisho wa dunia ni nani? aliyekudanganya Kenya bila tz flights haitandelea kupaa n nani? NB: the world does not revolve around ur useless LDC country
 
Mbona chuki? You competing with us, while Kenyans don't care. You have an inferiority complex. Visit Kenyans Forums, you wont see anyone comparing TZ to Kenya.
Hii ni international forum JamiiForums.com ni national forum so huko JamiiForums.com wanacompete wakikuyu na wajaluo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…