Uganda projects construction to start soon. Shame on you Kenyans

Meanwhile, Northern Corridor integration projects AKA CoW zinazidi kunoga.

 
aliyekudanganya tz ndio mwisho wa dunia ni nani? aliyekudanganya Kenya bila tz flights haitandelea kupaa n nani? NB: the world does not revolve around ur useless LDC country
Naona umepandwa sana na hasira kinachofata utajiharishiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
In individual level?????

Ukienda kesha utafikiri upo msibani, hali ngumu shida tupu
LDC ndizo hizo..tazama nchi nambari moja....nakushauri urudi shuleni uitishe karo zako..kwa akili hizi za kibashite, walimu walikukosea.
 
Habari za chini ya zulia zinadai Uganda wako mbioni kujitoa mradi wa SGR na Kenya ndo maana media ya Kenya inawananga! Fahamu kuwa moody rating fall ya Kenya imeongeza interest rate kwa mkopo wa ujenzi wa reli.

Kinachowaponza ndugu zetu hao mara nyingi hawawasemi vizuri majirani zao. Wao huonesha hisia hasi moja kwa moja katika juhudi za nchi jirani kujiendeleza. Huwa hawana uvumilivu kama walivyo wenzao.
 
Dah! Mbona Wabongo wana chuki dhidi ya Kenya hivi? Hizi comments zenye zimejaa chuki tele. Mimi ni mkenya na kukiwa na maendeleo bongo au TZ siumwi na chochote. It's a win for the EA community. It's like Tanzanians want to see the downfall of Kenya.
Sijui we mkenya wa wapi ujui kitu mbaya mliunda kuujumu tz kitu kinaitwa NG'OMBE aka COW au unajifanya umesahau
 
LDC ndizo hizo..tazama nchi nambari moja....nakushauri urudi shuleni uitishe karo zako..kwa akili hizi za kibashite, walimu walikukosea.
Pamoja nakuwa LDC hatuna slum ambayo iko top 10 duniani lakini nyie mnazo sita. Kibera pekeyake iko na 2.5 million people. Hiyo ni population ya mkoa mmoja hapa TZ Pia hatuna dispensary ya kiwango kama hiki.Uki ipata nahama JF
 
Habari za chini ya zulia zinadai Uganda wako mbioni kujitoa mradi wa SGR na Kenya ndo maana media ya Kenya inawananga! Fahamu kuwa moody rating fall ya Kenya imeongeza interest rate kwa mkopo wa ujenzi wa reli.
Uvutaji bangi na unywaji chang'aa wa Uhuru K. unaiangamiza Kenya hivi hivi.
 
Mtanzania anasherehekea ujenzi wa airport Uganda ilhali kwao aiport zinafanana na vibanda vya nguruweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ picha zipo...bisha ukaribishwe mara moja
Wanatafuta consolation kutoka kwa LDC mwenzao baada ya kushindwa kuipiku Kenya, yani ni tag team ya kushinda Wakenya lakini bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…