Uganda, Rais Museveni amepitisha sheria ya kuzuia LGBTQ

Uganda, Rais Museveni amepitisha sheria ya kuzuia LGBTQ

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,005
Reaction score
19,579
Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.

Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye.
IMG_9234.jpg
 
Huyu jamaa namkubali kiaina anaprove wrong ile mahakama ya Kenya inayotambua haki ya mashoga kutembea hadharani kishogashoga
 
Si ajabu kwamba moja kwa moja mama hapendi hizi tabia na sheria zake, lakini kwa kuhofia urafiki na vikwazo vya kidunia mama aka mute bila kusinya wala kukubali kusinya ili mpaka anamaliza Muda wake asijitike lawama za moja kwa moja ili alaumiwe mwenzake ajae
 
Kuna fununu niliisikia sema sina Mwanasheria na familia inanitegemea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo habari ya lini weka tarehe tusije kutoa pongezi za bure. Nakumbuka mahakama ilifuta sheria miaka iliyopita
 
Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.

Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye. View attachment 2532866
Afanye nini tena wakati alishafanya?

Amini usiamini hana habari na hilo kamwe hatafanya kitu.

Utaniuliza ikiwa atafanya.
 
Tatizo ni ushoga na usagaji kutumika kisiasa. Je Kuna research gani iliyofanya katika Nchi husika kuonyesha kuwa ushoga na usagaji ni man made or natural. Kwanini Kuna ladyboy na wenye jinsia mbili. Tafiti ndiyo huleta muelekeo wa Kila jambo.
 
Safi sana,
Sasa na Njaa zetu Africa utegemee Waganda wengi kuomba ukimbizi kwamba ni machoko wakirudi kwao watauliwa.
Hiyo ndio akili yetu ilipo😁
 
Hapa kwetu kwa hii kasi ya mikopo kila mwezi hatuchomoi aisee.
 
Back
Top Bottom