INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Hongera kwake
Huyu jamaa namkubali kiaina anaprove wrong ile mahakama ya Kenya inayotambua haki ya mashoga kutembea hadharani kishogashoga
Si ajabu kwamba moja kwa moja mama hapendi hizi tabia na sheria zake, lakini kwa kuhofia urafiki na vikwazo vya kidunia mama aka mute bila kusinya wala kukubali kusinya ili mpaka anamaliza Muda wake asijitike lawama za moja kwa moja ili alaumiwe mwenzake ajae
Afanye nini tena wakati alishafanya?Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.
Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye. View attachment 2532866
Japo hii ni taarifa ya 2014Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.
Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye. View attachment 2532866