UGANDA: Serikali imepiga marufuku kurushwa mubashara kwa vipindi vya Bunge baada ya kutokea fujo

UGANDA: Serikali imepiga marufuku kurushwa mubashara kwa vipindi vya Bunge baada ya kutokea fujo

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
fujo.jpg

Fujo zilizotokea kwenye bunge la Uganda zimepelekea kusitishwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya kutoka bungeni yanayochochea umma, kwa mujibu wa habari iliyotoka kwa mdhibiti mawasiliano wa bunge.

Tume ya mawasiliano ya Uganda imesema habari iliyoitoa jumatano kuwa vituo vya radio na luninga zinatakiwa kuacha kutangaza mubashara matukio yanayochochea umma, yanayo bagua, yanayo kuza utamaduni wa vurugu na ambayo yanaweza kuleta hofu kwa jamii.

Vurugu hizo zilitokea jumanne bungeni humo kati ya wabunge wakiwa wanapinga mpango wa kubadili sheria na kumuongezea rais Yoweri Museveni muda wa kuongoza. Wabunge walirushiana ngumi, walinyanyuliana viti na kufanya fujo.

===============================================================================


Fistfights in parliament have led Uganda to ban live broadcasts of events “inciting the public,” according to a notice from its communications regulator.

Uganda Communications Commission said in a notice on Wednesday that radios and television stations should stop live broadcasts of events that “are inciting the public, discriminating, stirring up hatred, promoting a culture of violence ... and are likely to create public insecurity.”

The fights broke out in parliament on Tuesday between lawmakers opposing plans to change laws and extend President Yoweri Museveni’s rule and those in favour. The lawmakers threw punches, hurled chairs and shoved and banged on benches.

Uganda’s two major privately owned TV stations, including a local unit of Kenya’s Nation Media Group, and some radio stations carried the proceedings live.

The notice was dated Sep. 26, but a commission executive, Godfrey Mutabazi, told Reuters it was sent to all broadcast media on Wednesday morning.

Critics say the action underscores a crackdown in the East African country against anyone questioning a planned constitutional amendment.

Under the existing constitution, eligibility to stand as a presidential candidate has an age ceiling of 75 years. That makes Museveni, 73, in power for more than three decades, unqualified to seek re-election at the next polls in 2021. Removing the age cap would clear that hurdle.

The proposal to change the constitution has met widespread opposition from rights activists, the political opposition, religious leaders and from some members of Museveni’s own ruling party.

Since last week, when a motion to kick-start the amendment process was supposed to be read but never made it to the floor, both police and military personnel have been deployed around the parliament and many parts of the capital, Kampala.

Protests by students and opposition activists and supporters in Kampala against the legislative measure - sometimes broadcast live - have been put down with teargas and arrests of scores.

Media in Uganda routinely complain of harassment by security personnel. Journalists say they have been beaten, detained or their equipment damaged or confiscated during coverage of anti-government demonstrations.

On Tuesday, anti-government protests also occurred in other parts of the country, including in the northern town of Lira. Three local journalists there were arrested as they covered the protests, according to Hudson Apunyo, an official in a journalists’ association in the area.

Robert Ssempala, national coordinator for Human Rights Network for Journalists-Uganda, said banning live broadcasts was “to shut out Ugandans and keep them in the dark on the age limit debate” after the measure met broad resistance.
 
Ukitaka kujua tabia ya mtu angalia marafiki zake.
Hao wabunge wanaotaka museveni haongezewe muda wa utawala hawana akili na kama wanazo wamempa museveni hawashikie, haiwezekani wananchi milioni arobaini mtu moja ndiye wamuone ana akili kuwazidi, akifa je?
 
Kampala, Uganda. Vyombo vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonyesha moja kwa moja matangazo ya Bunge ambalo linaendelea na vikao.

Mkurugenzi wa Tume ya Utangazaji nchini humo, Godfrey Mutabuzi amesema redio na runinga zote haziruhusiwi kurusha matangazo ya Bunge moja kwa moja kuanzia leo Alhamisi.

Amesema sababu ya Bunge kutoonyeshwa moja kwa moja ni za kiusalama.

Wabunge nchini Uganda walipigana jana Jumatano ndani ya ukumbi wa Bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili muswada wa kuondoa ukomo wa miaka ya kugombea nafasi ya Urais kwa mujibu wa Katiba ya Taifa hilo.

Katika ugomvi huo, wabunge walirushiana viti na kuharibu vipaza sauti. Kikao hicho kiliongozwa na Spika wa Bunge, Rebecca Kadaga.

Ugomvi huo ulianza pale Spika alipochukua hatua ya kuwafukuza wabunge wapatao 25, wengi wao wakiwa ni wa upinzani kwa madai ya utovu wa nidhamu.

Mwingine aliyetolewa ndani ya ukumbi ni waziri wa Serikali aliyeshtakiwa kwa kufyatua risasi bungeni Jumanne.

Wabunge wanadai kama kikomo cha umri wa miaka 75 kitaondolewa, basi Rais aliye madarakani sasa atapata mwanya wa kugombea tena mwaka 2021.

Source: Mwananchi Online
 
Kumbe tuko mbele ya Uganda, waje wajifunze kwetu
 
Baada ya kutokea mambo ya utovu wa nidhamu na hatimaye Wabunge kuchapana makonde kavukavu bungeni Uganda, uongozi wa bunge hilo umepiga marufuku matangazo mubashara kutoka bungeni. Hapa Tanzania pia matangazo mubashara ya bunge yalizuiwa baada ya kuonekana Wabunge hawaitendei haki fursa hiyo, ni kama vile walipendelea zaidi kuuza sura badala ya kujenga hoja. Source UBC habari!
 
Back
Top Bottom