Uganda suspends the SGR project

Umeongea kwa unyonge sana.. nini iko mbaya! Magu amejua kuwasomesha namba ili anza pipeline, Kagame aka wakacha sasa M7 na yeye ameona ma diesel train ndani ya 2018 siyo sawa [emoji23]. Kumbuka nikwanza miaka mitatu..
Mmmh, ndio umefufuka leo? [emoji1] Kwa hivyo meter gauge ya Kenya-Uganda Railway inatumia umeme? Endelea kunielimisha jombaa.
 
Mmmh, ndio umefufuka leo? [emoji1] Kwa hivyo meter gauge ya Kenya-Uganda Railway inatumia umeme? Endelea kunielimisha jombaa.
Mimi nipo siko zote.. maumivu ya kichwa yanaanza polepole, wewe andaa Sona moja
 
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Acha ujinga wewe jamaa. Nani kakwambia hai-connect na Tanzania hiyo metered gauge railway?

Sasa kwa taarifa yako iko hivi.
Mizigo ya Uganda inapita Dar es Salaam hadi Mwanza kwa meter gauge railway. Kisha ikishafika mwanza hiyo traini inapakiwa kwenye meli na mizigo yako halafu ikifika Uganda treni lote linashuka na kuunga behewa zake na kuingia steshesni. Hii kitu ilishaanza kufanya kazi.

Reli ya Tanzania na Uganda imeunganisahwa kupitia ziwa victoria wewe kaa ukishangaa. Ngoja nikutafutie link uone mchezo ulivyo

FULL KIPINDI-KUREJEA KWA USAFIRI WA TRENI ZA MIZIGO KUTOKA TANZANIA HADI UGANDA-TAZAMA SAFARI NZIMA

Mimi nipo siko zote.. maumivu ya kichwa yanaanza polepole, wewe andaa Sona moja
Hahaa, aisee nilikuwa nimedhani ulizama kusikojulikana na LionAir ya Indonesia. Kwahivyo maumivu ya KQ tangu juzi yalikufanya umeze kopo nzima la Sona Moja, painkiller kutoka Kenya? Meen you can never hide from us! 😎
 
Hahaaa.. Hiyo safari ya Kq hata hainisumbui. Sona moja huku Tz haipo kabisa, hii namaanisha ni vile mimi nimesha kua shemeji yenu ndiyo maana naijua hiyo dawa [emoji2]
 
Hahaaa.. Hiyo safari ya Kq hata hainisumbui. Sona moja huku Tz haipo kabisa, hii namaanisha ni vile mimi nimesha kua shemeji yenu ndiyo maana naijua hiyo dawa [emoji2]
Shemeji sio? Nakuonea 18. [emoji1] Uwe tayari kuja na lita kadhaa za Muratina ya wazee
 
Tatizo hawa jamaa maneno mengi ubabaishaji ndio usiseme. Hivi ninyi wakenya mnadhani hizi zama za Magufuli ni za Jakaya. Jamaa hataniwi. Mkisema SGR tupo, Mkisema Meter Gauge tupo. Mkija Angani tupo, mkija majini na nchi kavu tupo kwani barabara zinatandazwa kama hatuna akili nzuri. Sasa tunakimbizana na viwanda na umeme. Kwenye utalii sasa hivi tunawashika.
 
Umesema wewe mwenyewe ANGANI TUPU. Huo ni ukweli
 
Uhuru is a Failure, a true douchebag who has nothing but shit in his head. Anajua tu kuhudhuria mikutano na PR mingi mingi.
 
Mchezo huu hauhitaji hasira, taratibu mtausoma tu twendeni mdogomdogo miaka mitano ijayo ukanjanja wenu utakuwa wazi.
Andaeni vitanda kibao muhimbili basi maana wengi wenu mtalazwa huo wakati ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…