Huu mradi lazima ukamilike, vizuiz ni vingo coz ni mradi mkubwa na gharama nyingi lakn mwisho qa siku Waganda na watz wanautegemea. Cha muhimu ni interests na mahusiano mazuri baina ya inchi, lakini hii kitu lazima ikamilike ata kama co leo. Mtusamehe wakenya ila waganda ndo washatuchagua sisi