Uganda: Troy amehukumiwa miaka 14 jela kwa hatia ya kuhusika na kifo cha Mwanamuziki Mowzey Radio

Uganda: Troy amehukumiwa miaka 14 jela kwa hatia ya kuhusika na kifo cha Mwanamuziki Mowzey Radio

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
1572507153216.png

Godfrey Wamala amekutwa na hatia ya kumuua Moses Sekibogo (Mowzey Radio) bila ya kukusudia. Hukumu hiyo imesomwa licha ya Mwanamuziki huyo kufariki katika ghasia zilizotokea sehemu ya starehe.

Kesi ilikuwa ikiendeshwa na Jaji Jane Abodo katika Mahakama Kuu Entebbe.

Jaji amesema kuwa Godfrey Wamala atatumikia miaka 13, miezi 3 na siku 4 baada ya kukaa mahabusu kwa mwaka 1

==========

The man who was early this week convicted with manslaughter over the death singer Moses Sekibogo alias Mowzey Radio has been sentenced to 14 years in prison.

Godfrey Wamala alias Troy was on Monday this week found guilty of manslaughter and not murder which he had been charged with.

Justice Jane Abodo of Entebbe High Court on Thursday reiterated that Wamala did not have malice aforethought (intention) to kill Mowzey despite the fact that the Goodlyfe Crew member died following a bar brawl.

The judge, however, noted that Wamala is to spend 13 years, three months and four days in prison because he has already served one year, eight months and 26 days in Kigo Prison.

-All Africa-
 
We need ammendments of murder penalt otherwise life of a person never be compersated
 
Back
Top Bottom