Uganda: Ukaguzi waimarishwa baada ya kutokea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

Uganda: Ukaguzi waimarishwa baada ya kutokea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Ulinzi umeimarishwa kati ya wasafiri wa ndani, wanaotoka na kuingia nchini Uganda ikiwa ni hatua za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ya nchi hiyo katika kuzuia virusi vya ugonjwa wa Ebola kusambaa ndani na nje ya nchi.

Chanzo cha kirusi hiki hadi sasa hakijulikani lakini popo aina ya (Pteropodidae) wanaonekana kuwa wabebaii wa kirusi hicho, kwa mujibu wa ushahidi uliopo sasa.

Kwa Mujibu wa Daily Monitor, hatua hizo zilizoanza kuchukuliwa jana saa chache baada ya vipimo vya maabara kuthibitisha mgonjwa wa kwanza aliyegundulika katika

Wilaya ya Mubende iliyopo katikati ya nchi hiyo.

Chanzo: Mwananchi
 
Back
Top Bottom