Ndugu zangu, mambo na matatizo ya Waafrika yanafanana baada ya zogo la Escrow ya Watanganyika sasa sakata limehamia kwa jirani zetu Waganda ambako nao kwa mujibu wa Televisheni ya NTV nako fedha ya Serikali na Umeme Escrow Akaunti zimeyeyuka na sasa Watunga sheria wao wanataka uchunguzi ufanyike ili mambo yawe hadharani.Sijui nako atakuwa Singasinga wetu huyu Seth ama ni kundi jingine?
Ngoja tusikilize tuone nako kama kutakuwa na maazimio ya Bunge kama hapa Tanganyika
Ngoja tusikilize tuone nako kama kutakuwa na maazimio ya Bunge kama hapa Tanganyika