Juzi wakati nasoma familia 13 za Illuminata nilijikuta nacheka sana jinsi mataifa haya ya wazungu na makampuni yao yanavyoiendesha hii dunia yetu ya kimasikini,kwamba wanatengeneza mazingira ya makampuni yao kuja huku kuchuma pasipo kulipa kodi na wala kufuata sheria ambazo wafanyabiashara wengine ndo maana tunaibiwa kila siku,hapa ili kuiepusha serikali,viongozi wanaagizwa baadhi ya watu wawe sacked then siasa inaendelea ..kwetu sie waswahili haya mambo yanastua lakini kumbe ni planned way back before