balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona kila thread unacoment ameumia,inaonekana umefurahi
Kama unaona nimefurahi sawa,kwani kusema ukweli ndo kufurahi? Unabisha hajaumia na akabebwa na machela? Tatizo ukweli una kawaida yabkulalia upande mmoja,iama unanuna wee nuna ilabokwi kaumia na katolewa kwa machela na nafasi yake ikachukuliwa na mchezaji mwingine.Kama hutaki acha.We mbona kila thread unacoment ameumia,inaonekana umefurahi
Atapona na mechi ya azam atachezaKama unaona nimefurahi sawa,kwani kusema ukweli ndo kufurahi? Unabisha hajaumia na akabebwa na machela? Tatizo ukweli una kawaida yabkulalia upande mmoja,iama unanuna wee nuna ilabokwi kaumia na katolewa kwa machela na nafasi yake ikachukuliwa na mchezaji mwingine.Kama hutaki acha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuombea apone ,acheze na afunge goli saba peke yake.Atapona na mechi ya azam atacheza
Pamoja mkuu
Povu hahaha
Mumuombeee kwa mungu apone upesiAtapona na mechi ya azam atacheza