Uganda vs Egypt

We mbona kila thread unacoment ameumia,inaonekana umefurahi
Kama unaona nimefurahi sawa,kwani kusema ukweli ndo kufurahi? Unabisha hajaumia na akabebwa na machela? Tatizo ukweli una kawaida yabkulalia upande mmoja,iama unanuna wee nuna ilabokwi kaumia na katolewa kwa machela na nafasi yake ikachukuliwa na mchezaji mwingine.Kama hutaki acha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapona na mechi ya azam atacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…