UGANDA VS MANYARA STARS: TV ipi itaonesha live?

matunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
442
Reaction score
426
Wakuu naomba mtuambie ni TV gani itaonesha Uganda VS Manyara Stars leo?
 
TV Uganda wanaonyesha live kama upoo bongo na una dstv utaikama hii TV

Samahani mkuu mimi napata UBC-Uganda tv online lakini muda huu kuna program ya cartoon, hiyo DSTV ni tofauti na hii yal online ambayo nembo yake ni UBC!
 
wekeni matokea basi kwa wale mnaoangalia hili gemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…