Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naona hali tete inaendelea kwa EAC nzima, sasa Uganda nao wameanza kubana matumizi.
Maprof wasimamishwa njiani kuamriwa kupaki magari ya chuo kipindi cha likizo na hakuna safari yoyote juu yao unless imepitishwa na waziri wa elimu.
Mama janeth museveni....
Cc: Prof. Ndalichako (Waziri)