The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa raia wengi wanaokamatwa wakimiliki nyaraka hizo ni kutoka nchi kama vile Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan Kusini na DR Congo. Tanzania haijatajwa miongoni mwa nchi hizo, na hii ni habari njema.
Swali langu ni je, Tanzania tupo salama kiasi gani na uhalifu wa namna hii?
Swali langu ni je, Tanzania tupo salama kiasi gani na uhalifu wa namna hii?